Hotuba ya Bajeti Wizara ya Madini kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022

A. UTANGULIZI

1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyochambua bajeti ya Wizara ya Madini, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na kupitisha Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu kwa Mwaka 2020/2021 pamoja na Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Kawaida na ya Maendeleo ya Wizara ya Madini na Taasisi zake kwa Mwaka 2021/2022. Hotuba yangu yenye kurasa 152 naomba iingizwe yote kwenye kumbukumbu Rasmi za Bunge (Hansard) kama ilivyowasilishwa kwenye Ofisi za Bunge.

2. Mheshimiwa Spika, kwa unyenyekevu mkubwa namshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema na kuniwezesha kusimama mbele ya Bunge lako Tukufu kwa mara nyingine tena nikiwa Waziri wa Madini kuwasilisha Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2021/2022 wa Wizara ya Madini.

3. Mheshimiwa Spika, kipekee nichukue fursa hii adhimu kutoa pole kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu kwa kuondokewa na Jemedari, mchapa kazi, mpenda maendeleo na shujaa wa Afrika Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunatambua jitihada na kujituma kwake katika kutekeleza majukumu yaliyolenga kuliendeleza Taifa kwani alikuwa ni mshauri wake wa kwanza. Msiba huu kwake ni pengo kubwa ambalo ni gumu kusahaulika kwa kuwa maelekezo na maagizo ya Hayati Magufuli yalikuwa ni sehemu ya maisha yake na yetu ya kila siku. Mwenyezi Mungu amtie nguvu na ustahimilivu.

4. Mheshimiwa Spika, naomba nichukue fursa hii pia kumpa pole Mama yetu mpendwa Mhe. Janeth Magufuli ambaye ni Mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, watoto, mama mzazi, ndugu na jamaa kwa kumpoteza kipenzi chao. Naomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa faraja na ustahimilivu.

>>Soma Zaidi>>

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal