Hotuba ya Mgeni Rasmi Mhe.Angellah J. Kairuki (MB), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) katika Kufunga Maonesho ya Teknolojia na Uwezekaji katika Sekta ya Madini Mkoa wa Geita Tarehe 27 Septemba,2020

Awali ya yote,niruhusuni nichukue fursa hii adhimu kuwafikishia salamuZa kipekee kutoka kwa Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), WaziriMkuu wa Tanzania ambaye alipokea mwaliko na kuridhia kuwa MgeniRasmi katika Siku hii ya leo maalumu ya kufunga Maonesho ya Tatu ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini.

Alitamani sana kujumuika nanyi, lakini kutokana na ratiba nyingine za Kazi imemuwia vigumu kuhudhuria, na amenielekeza nimwakilishe. Aidha, ameniagiza niwahakikishie WanaÔÇô Geita pamoja na Washiriki Wote kwa ujumla kuwa yupo pamoja nanyi na ataendelea kuwaunga Mkono katika jitihada za kukuza Sekta hii muhimu ya Madini.

Mheshimiwa Waziri, Ndugu Washiriki wa Maonesho,Kauli Mbiu ya Maonesho haya isemayo ÔÇťMadinini Uchumi,2020 ChaguaViongozi Bora kwa Maendeleo ya TaifaÔÇŁnimuafaka kabisa kwani inakwenda sambamba na tukio muhimu sana la Kikatiba la UchaguziMkuu utakaofanyika Mwaka huu, tarehe 28 Oktoba. Kama mnavyofahamu hivi sasa zoezi la Kampeni za kila Chama kuu za seraZake linaendelea.

Hata hivyo, pamoja na kampeni hizo kuendelea shughuli mbalimbali za maendeleo zinazofanywa na Serikali haziwezi kusimama,ni lazmaziendelee na ndio maana tuko hapa leo hii kuhitimisha Maonesho hayaya Sekta hii muhimu katika uchumi waTaifa letu.

<<soma zaidi>>

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal