Hotuba ya Waziri wa Madini Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb.), akizindua Kamati ya uhamasishaji uwazi na uwajibikaji katika rasilimali za madini, mafuta na gesi asilia nchini

Mheshimiwa Stanslaus Nyongo (Mb.), Naibu Waziri, Wizara ya Madini;

Prof. Simon Msanjila, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini;

Dkt. Hamisi Mwinyimvua, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati;

Ndugu Ludovick Utouh, Mwenyekiti Kamati ya TEITI;

Wajumbe wa Kamati ya TEITI;

Sekretarieti ya TEITI;

Waandishi wa Habari;

Wageni Waalikwa, Mabibi na Mabwana.

Awali ya yote ninapenda kuanza kwa kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema kwa kutujaalia kukutana siku ya leo katika uzinduzi wa Kamati ya TEITI. Kamati ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi asilia nchini Tanzania kwa kipindi cha Oktoba 2016 ÔÇô Oktoba 2019. Ninakushuru ndugu Mwenyekiti wa Kamati ya TEITI kwa kunialika kujumuika nanyi katika tukio hili muhimu ambalo ni kielelezo na nyenzo ya kufanikisha kuboresha uwazi na uwajibikaji katika sekta ya uziduaji hapa nchini. Kama mnavyofahamu, mwaka 2009 Nchi yetu ilijiunga katika mpango wa kimataifa wa kuhamasisha uwazi na uwajibikaji katika sekta ya Uchimbaji wa Rasilimali (Extractive Industries Transparency Initiative) lengo kuu ikiwa ni kuhakikisha kwamba mapato yanayotakiwa kulipwa Serikalini kutoka Sekta ya uziduaji yanapatikana na kuwekwa wazi kwa wananchi. Msingi wa falsafa hii ya uwazi na uwajibikaji kwenye Sekta ya uziduaji umejikita kwenye Ibara ya 8 (1) (c) na Ibara 27 (1) & (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977. Ibara hizi zinazungumzia Serikali kuwajibika kwa wananchi wake na kwamba rasilimali zote za nchi zitatunzwa na wananchi wote kwa manufaa ya wote. Aidha, Sheria ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia Tanzania ya mwaka 2015 nayo imeweka msingi imara wa kuhakikisha kunakuwa na uwazi na uwajibikaji kwenye Sekta ya uziduaji Nchini. Hivyo, Kamati hii ninayoizindua leo hii ina umuhimu mkubwa kwa mustakabali ya maendeleo ya Taifa letu iwapo mtatekeleza majukumu yenu kwa weledi, uzalendo na kwa kuipenda nchi yenu. Ni matarajio yangu na matarajio ya kila mwenye kuitakia mema Nchi yetu, mnakwenda kutekeleza wajibu wenu ipasavyo kwa maslahi mapana ya Nchi yenu kwani Taifa limewaamini hivyo msiliangushe.

Ndugu Mwenyekiti na ndugu Wajumbe wa Kamati, Itakumbukwa kuwa, tangu TEITI ianzishwe Mwaka 2009 hii ni Kamati ya tatu. Kamati mbili za awali ziliongozwa na Mheshimiwa Jaji Mstaafu Mark Bomani. Ninayo faraja kubwa ya kuishuhudia siku hii na kushiriki tukio la leo nikiwa Waziri wa Madini. Ninamshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuniteua mimi kwenye wadhifa huu na kwa kukuteua wewe Bw. Ludovick Utouh Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Mstaafu) kuiongoza Kamati ya tatu ya TEITI. Maamuzi ya Mheshimiwa Rais kumteua Mwenyekiti wa Kamati ya TEITI ni maamuzi ya kimapinduzi katika kuboresha usimamizi wa rasilimali nchini ilizo nazo katika Sekta ya uziduaji na kuhakikisha kuwa manufaa yanayopatikana kutokana na rasilimali hizi yananufaisha Watanzania wote na kuleta maendeleo kwa nchi. Uteuzi wa Mwenyekiti umezingatia uwezo wake wa uongozi na kubeba dhamana hii kwa kushirikiana na wajumbe kumi na tano kutoka Serikalini, Kampuni za madini, mafuta na gesi asilia na Taasisi za Kiraia. Ni matumaini yangu utaendeleza kazi nzuri ulizokwishafanya huko nyuma katika kuiongoza Kamati hii. Aidha, kwa upande wenu wajumbe wa Kamati hii mlioteuliwa, tunaamini mnao uwezo na weledi wa kuifanya kazi hii. Vile vile tunaamini mna nafasi kubwa ya kuisaidia Serikali katika agenda yake ya kuboresha Sekta hii muhimu kwa kuainisha njia za kuboresha usimamizi wa Sekta ya uzuduaji, kuvutia wawekezaji, kuongeza pato la Taifa na kujenga imani kwa wadau wa sekta hii. Katekelezeni majukumu yenu kwa maslahi ya Nchi yenu.

>>Soma Zaidi>>

├ťmraniye yeni escort
G├Âztepe yeni escort
Aksaray yeni escort

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link