Hotuba ya Waziri wa Madini, Mhe. Doto M. Biteko (MB.) kwenye hafla ya kukabidhi Tanzanite yenye uzito wa kilo 6.3317 kwa Serikali tarehe 03/08/2020

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kukutana hapa tukiwa wazima wa afya na kutuwezesha kushiriki pamoja katika hafla nyingine ya kukabidhiwa madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 6.3317 baada ya kuyanunua kutoka kwa mchimbaji madini Bw. Sininiu Laizer kwa mara ya pili katika kipindi cha mwezi mmoja hapa Mirelani. Ikumbukwe tulikuwa na shughuli kama hii hapa Mirelani tarehe 24 Juni, 2020, leo ni tarehe 3 Agosti, 2020.

Napenda kuendelea kutoa shukrani zangu za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyeamuru na kuwezesha kujengwa kwa ukuta wenye mzingo wa kilometa 24.5 kuzunguka machimbo ya tanzanite hapa Mirelani. Dhumuni kuu la ujenzi wa ukuta huu ni kudhibiti utoroshwaji wa madini ya tanzanite na hivyo kuongeza mchango wa madini haya katika mapato ya Serikali.

Wageni Waalikwa, Mabibi na Mabwana,

Faida za ukuta huu sasa ni dhahiri kwani tumeshuhudia kuongezeka kwa uzalishaji baada ya ukuta kujengwa 2018. Katika kipindi cha miaka miwili kabla ya ukuta, 2016 na 2017, kilo 312.30 za tanzanite zenye thamani ya shilingi bilioni 4.2 zilipatikana na Wizara ilikusanya mrabaha wa shilingi milioni 238 tu. Katika kipindi cha miaka miwili baada ya ukuta, 2018 na 2019, kilo 3,935.43 za tanzanite zenye thamani ya shilingi bilioni 53.141 yalipatikana na Wizara ilikusanya mrabaha wa shilingi bilioni 3.9.

Wageni Waalikwa, Mabibi na Mabwana,

Tarehe 17.06.2020 mgodi wa mchimbaji mdogo Saniniu Kurian Laizer ulifanya uzalishaji wa kilo 32.872 za tanzanite katika umbali wa mita 1800 chini ya ardhi kwenye mgodi wake uliopo kitalu D. Uzalishaji huo ulikuwa na thamani ya shilingi 8,458,485,970.03, ambapo malipo ya mrabaha na ada ya ukaguzi yaliyopokelewa yalikuwa Shilingi 507,509,200.

Wageni Waalikwa, Mabibi na Mabwana,

Mtakumbuka kuwa katika uzalishaji huo wa kilo 32.872 uliopatikana tarehe 17/06/2020 kulikuwa na vipande viwili vya tanzanite vilivyokuwa na uzito mkubwa ambao haukuwahi kupatikana katika historia ya uchimbaji wa tanzanite Mirelani. Na Serikali iliyanunua mawe hayo mawili katika hafla iliyofanyika hapa

Mirelani tarehe 24 Juni 2020 na kuyahifadhi kwa kumbukumbu ya Taifa la Tanzania na kama kivutio cha utalii wa nje na ndani kwa kuzingatia kuwa tanzanite inapatikana nchini Tanzania pekee.

>>Soma Zaidi>>

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link