Katibu Mkuu Madini: Awaambia Wafanyakazi Wapya Chapeni Kazi

Issa Mtuwa-Dodoma

Wafanyakazi Wapya wa Wizara ya Madini walioajriwa hivi karibuni katika Utumishi wa Umma katika Wizara ya Madini, wamepewa mafunzo kwa lengo la kuwafahamisha masuala mbalimbali ya Utumishi wa Umma na taratibu za Serikali.  

Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Idara ya Utawala na Rasilimali Watu, yamefanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 23 Septemba  hadi leo tarehe 25 Septemba, 2020. 

Dr. Theresia Mnaranara aliyesimama Kutoka Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania akitoa Mafunzo kwa watumishi wapya wa Wizara ya madini iliyofanyika Septemba 24, 2020 Mtumba Dodoma

Akifunga mafunzo hayo, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Issa Nchasi, amewaambi wafanyakazi hao, kuzingatia masuala ambayo wamejifunza katika siku zote tatu za mafunzo. Akasisitiza umuhimu wa kuchapa kazi kwa kuzingatia juhudi, weledi, na uwadilifu.

ÔÇťChepeni kazi, kuweni waaminifu, watiifu, waadilifu, wanyenyekevu, epukeni rushwa na kutii mamlaka. Kwetu sisi Madini, kuchapa kazi ni wajibu wetuÔÇŁ. Alisema Nchasi.

Mafunzo hayo yalianza kutolewa na wataalam mbalimbali kutoka ndani ya Wizara, Chuo cha Utumishi Umma na Ofisi ya Usalama Serikali (GSO). Katika mafunzo hayo wamefahamishwa majukumu ya wizara kila idara na vitengo, maadili katika Utumishi wa Umma na Huduma kwa mteja, muundo wa Serikali na Uendeshaji wake, Dhana ya Utumishi wa Umma na masuala mengine ya kiserikali.

Mmoja wa waliohudhuria mafunzo hayo, Steven Nyamiti, ambae ni Afisa Habari amesema,  amefurahishwa na mafunzo na mada zilizotolewa tangu siku ya kwanza mpaka siku ya mwisho, huku Iddi Shebila na Primatus John wote ni madereva wamefurahishwa na mambo ya kuzingatia wakati ukiwa kazini na utunzaji siri pindi wanapokuwa na mabosi wao.  Wafanyakazi wapya na waliohamia ni; Steven Nyamiti, kitengo cha Mawasiliano,  Dohaha Yanda, Iddi Shebila, Selemani Malunde, Desdelius Kalinda, Primatus John na Emanuel Dato wote wa idara ya Utawala na Nickson Emmanuel kitengo cha Uhasibu TGC Arusha

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link