Mgodi wa Irasaniro wauwa wachimbaji wadogo

Na Issa Mtuwa ÔÇô ÔÇťWizara ya MadiniÔÇŁ Mara

Vifo vya Wachimbaji wadogo Wawili wa madini na majeruhi Nane vilivyotokea katika kijiji cha Magunga Wilaya ya Butiama, vimemfadhahisha Waziri wa Madini Doto Biteko.  

Waziri wa Madini Doto Biteko na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mara wakiongozwa na mkuu wa Mkoa Adam Malima wakati wakiagana na Waziri wa Madini Doto Biteko.

Waliofariki ni Kisambi Daudi (30) Mwikizu, mkazi wa Magunga wilaya ya Butiama na Marwa Mwita Magige (48) Mkurya mkazi wa Nyaburundu wilaya ya Bunda wamefariki usiku tarehe 11/06/2020 katika mgodi wa Irasaniro Buhemba mkoani Mara baada ya kufukiwa na kifusi na kuokolewa wakiwa wamefariki huku waliofariki wamehifadhiwa katika kituo cha Afya Nyamuswa.

Biteko amesema chanzo vya vifo hivyo ni kutokana na ukaidi wa wachimbaji wadogo kutofuata maelekezo ya wataalamu wa madini. Amesema eneo lilitokea vifo hivyo lilizuiliwa na Mkurugenzi wa Migodi nchini Dkt. Abdruhamani Mwanga kutoka Tume ya Madini alietembelea eneo hilo siku chache zilizopita na kuzuia eneo hilo lichichimbwe kabla ya vifo hivyo kutoke.

Biteko ameongeza kuwa, pamoja na katazo hilo wachimbaji hao walikwenda usiku na kuanza kuchimba. Katika tukio hilo Mkuu wa kituo cha Polisi Buhemba Inspekta Maige alijeruhiwa kwa kupigwa na jiwe kichwani wakati akiwatawanya wachimbaji waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo kwa ajili ya usalama wao.

 Akizungumza kwa ukali na huzuni akiwa mgodini hapo leo tarehe 12/06/2020 Biteko amesema ukaidi wa kutofuata sheria na utaratibu unaotolewa na wataalam wa madini ni ctatizo kwa wachimbaji wa madini. Ameongeza kuwa endapo wachimbaji hao wasinge kaidi maelekezo ya wataalamu madhara hayo yasingetokea.

 ÔÇťNdugu zangu mnataka nini kutoka Serikali hii, maelekezo tuliyopewa na Rais  tumetekeleza. Maeneo ya uchimbaji tumewapa, kodi lukuki tumepunguza, kero tumezitatua, mabobu ya kukimbizana kati ya Wachimbaji wadogo na wawekezaji katika utawala huu hakuna, awafanyie nini Rais John Pombe Magufuli?

 Wataalam wa madini walishaweka tahadhi kuhusu eneo hilo lakini wachimbaji mmekaidi na haya ndio matokeo yakeÔÇŁ alisema Biteko  huku akihuzunishwa.

Anasema, kazi yake kubwa ni kutekeleza anachoagizwa haswa ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali ili fedha hizo zikatatue changamoto ya wananchi na kuleta maendeleo ya watanzania wote. Amesema Wizara yake siku zote anaongelea kuhusu Namba (takwimu) lakini sio Namba za vifo ndo maana anahuzunishwa na vifo hivyo.

Mchimbaji mdogo wa Madini Paulo Ayuke akitoa kero kwa Waziri wa Madini Doto Biteko alipotembelea kwenye mgodi wa Irasaniro Buhemba.

Kufuatia hali hiyo Biteko ametoa maagizo ni marufuku uchimbaji wa madini wakati wa usiku na kuiagiza ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Butiama na kamati ya ulinzi na usalama kuhakikisha uchimbaji wa usiku haufanyiki na atakae kamatwa achukuliwe hatua ya kisheria.

Eneo la mgodi wa Buhemba kumekuwa na matukio ya vifo vya wachimbaji wadogo na machimbo hayo yalishawahi kufungwa kutokana na wachimbaji kufukiwa. Ufunguaji wake uliendana na utekelezaji wa masheriti waliyopewa ingawaje vifo hivyo vimetokea eneo jingine lakini hapo hapo Buhemba.  

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link