Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko alitembelewa na Watendaji kutoka Kampuni ya Peak Resources inayofanya utafiti wa uchimbaji wa madini ya rare earth metals kwenye eneo la Nguala, Wilaya na Mkoa wa Songwe.

Imeandaliwa na:

Mohamed Saif,

Afisa Habari,

Wizara ya Madini,

5 Barabara ya Samora Machel,

S.L.P 2000,

11474 Dar es Salaam,

Simu: +255-22-2121606/7, Nukushi: +255-22-2121606,

Barua Pepe: info@madini.go.tz,                                                                               

Tovuti: madini.go.tz