Prof. Manya awatunuku Astashada wanafunzi 907

Na Tito Mselem Dodoma, 
Naibu Waziri wa Madini Prof. Shukrani Manya leo Desemba 19, 2020 amewatunuku Stashahada wanafunzi 907 waliohitimu masomo yao katika Chuo cha Madini Dodoma kinachosimamiwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Baadhi ya viongozi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake wakiwa kwenye picha ya pamoja

Katika hafla hiyo ya mahafali ya pili ya chuo hicho kilichoanzishwa mwaka 1982, leo Desemba 19, 2020 wamehitimu wanafunzi 907 katika fani tofauti ikiwemo Stashahada ya Jiolojia na Utafutaji Madini, Upimaji Ardhi na Migodi, Sayansi ya Mafuta na Gesi, Uhandisi Migodi, Uhandisi Uchenjuaji Madini na Uhandisi na Usimamizi Mazingira Migodini.
Akizungumza katika Mahafali hayo, Prof. Manya amewapongeza na kuwaasa wahitimu wote kwamba elimu na maarifa waliyoyapata wakayatumie kwa manufaa yao binafsi, familia zao, jamii inayowazunguka na taifa kwa ujumla. 
Kwa upande wake, Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Prof.  William Anangisye, amempongeza Naibu Waziri kwa kukubali kuwa mgeni rasmi na pia amewapongeza wahitimu wote na kuwataka kuwa waadilifu na wakayatumie maarifa waliyoyapata katika kuendeleza taifa.
Prof. Anangisye alisisitiza kuwa, wahitimu wasiridhike na elimu hiyo na badala yake wajiendeleze ili kufikia ngazi za juu zaidi.

Naye, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Augustine Ollal, amewaasa wahitimu kuwa welevu na kukaa karibu na jamii ili jamii inufaike na maarifa waliyoyapata na akawaeleza wasitumie maarifa waliyoyapata chuoni hapo kwa namna yoyote ambayo ni hatarishi kwa taifa.

“Dhamira ya Wizara ya Madini na Chuo hiki ni kuhakikisha Chuo kinakuwa bora na chenye uwezo wa kutoa wahitimu watakaokidhi mahitaji ya soko la ndani na la nje ya nchi,” alisema Ollal.
Pia, Makamu Mkurugenzi wa Chuo cha Madini, Elvanus Kapira, amewataka wahitimu wote wakawe mfano kwa jamii na wakatumie elimu waliyoipata kwa bidii na kwa uweledi.

Baadhi ya wanafunzi waliohitimu masomo yao katika Chuo cha Madini Jijini Dodoma

“Ninaamini mmepewa fimbo ya kuwaongoza katika maisha yenu na ninaamini elimu mliyoipata mtaenda kutapata ajira sehemu mbalimbali ikiwemo serikalini, taasisi binafsi lakini kama ajira itachelewa jiungeni tengenezeni vikundi ili mjiajiri,” aliongeza Kapira.

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link