STAMICO Yanunua Mitambo ya Kisasa ya Kuchoronga

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limenunua mitambo mitatu ya kisasa ya uchorongaji yenye teknolojia ya kisasa zaidi kuwahi kutumika hapa nchini. Mitambo hiyo inayotumia kwa Teknolojia mbalimbali ikiwemo ya Komputa katika uchorongaji.

Akiongea wakati wa uzinduzi wa mitambo hiyo leo tarehe 15 Septemba, 2020, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila ameipongeza STAMICO kwa hatua kubwa waliyofikia na uthubutu wa kuleta ushindani katika soko la uchorongaji. Msanjila amewataka watumishi kuendelea kufanya kazi kwa bidi ili kuleta tija na maendeleo kwa Taifa.

Mtambo wa kisasa wa kuchorogea

Akizungumzia Mkurugezi wa STAMICO, Dkt. Venance Mwasse amesema ni jambo la kujivunia sana kununua mitambo hiyo ya kisasa ambapo shirika litatoa huduma, bora na za kisasa na kwa kushindana katika biashara ya uchorongaji. Mwasse ameongeza kuwa moja wa mtambo unauwezo wa kuendeshwa kwa kutumia kompyuta akiwa mbali na mashine ya uchorongaji.

ÔÇťTumenunua mitambo hii mitatu ya kisasa kabisa na mmoja kati ya hiyo  mtambo ni Explorac 235  wenye uwezo wa kuchimba hadi mita 500. Mtambo huu ni mpya na kiteknolojia yake ni ya hali ya juu na hakuna kampuni nyingine ambayo imeshawahi kutumia mtambo kama huu hapa nchini. STAMICO ndio Shirika la kwanza kuwa na mtambo kama huuÔÇŁ alisema Dr. Mwasse.

Dkt. Mwasse ameishukuru Wizara ya Madini kwa maelekezo na ushirikiano unaoendelea kutolewa kwa STAMICO na kutoa rai kwa wadau wa uchorongaji kufanya kazi na STAMICO.

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link