Uapisho wa Naibu Waziri

Ikulu, Chamwino-Dodoma

JPM Atoa Maagizo Kwa Wizara ya Madini

Aliyoyasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli

 Tumekuchagua wewe Prof. Manya kwasababu kwenye nafasi za juu za uongozi wa wizara tunakosa Professionals wa masuala ya madini. Tunakuweka tunataka ukawe link kwenye nafasi hii.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati wa Uapisho wa Naibu Waziri wa Madini Prof. Shukrani Manya uliofanyika Ikulu ya Chamwino Disemba 11, 2020.

 Sekta ya Madini ni Sekta muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu, mkajipange vizuri kuhakikisha tunakwenda vizuri. Tumeona dalili nzuri kwenye sekta hii. Mkiamua Sekta ya Madini inaweza kutoa mchango mzuri sana kwenye uchumi wa nchi yetu na ikawa mfano kwa nchi nyingine.

 Tanzania tuna madini mengi, tuna chuma nyingi lakini kwanini hatuyeyushi? Yale mliyoyasoma kwenye theory mkayafanye kwenye Practice. Wale wenye viwanda vya chuma mkiwapa maeneo wafanye kazi tutapata faida sana. Naomba ukasimamie pia hili. Tuna Graphite, hazijachimbwa lakini wataalam mpo.

 Viwanda vya Simenti vinalalamika hawapati Coal ya kutosha kwanini Coal ya Tanzania isitumike kama Fuel? Kwanini Coal isitumike kama nishati?

 Ni vizuri madini mjipange, madini tunayo ya kutosha yaanze kutumika. Tuna TIN kule Karagwe ilikuwa inatoroshwa, najua mmeanza kulifanyia kazi hili.

 Tuna Uranium, nchi ya Uganda ina Uranium lakini wameanza kui process kwetu sisi hatujaanza, lazima tuchangamkie fursa hii.

 Tume ya Madini fanyeni kazi, najua kuna matatizo madogo madogo, wale waliokuja kutoka TMAA ambao hawafanyikazi wapunguziwe mishahara nataka tuwe fair. Katibu Mkuu Kiongozi ulifanyie kazi hili.

Aliyoyasema Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu

 Kuna tozo inayotozwa kwa wachimbaji kwenye mazingira. Mkaangalie Sheria na miongozo kuna mapungufu kwenye masuala ya mazingira na uchimbaji wa madini.

 Hakuna miongozo au guidance ya kielektonic kwenye madini inayokwenda sambamba na masuala ya mazingira, mkae na kuliangalia suala hili.

Aliyoyasema Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa

 Prof. Manya, tunakufahamu, kati ya mambo makubwa yaliyofanyika katika Sekta ya Madini yeye alikuwa Mtendaji. Tunaamini anakwenda kufuatilia kwa karibu atashiriki kuuelezea umma ni nini tumefanya, ni uteuzi sahihi.

 Waziri Biteko na Wizara mmepata timu nzuri, wizara imepata watu wanaoifahamu, amesimamia, amekemea, wadau watajua tunataka nini ni Baraza la Mawaziri la kazi.

Aliyoyasema Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai

 Mhe. Naibu Waziri tunakuhakikishia ushirikiano , Sekta ya Madini ni moja ya Sekta ya Ukombozi . Zamani tuliilalamikia sana lakini sasa tunaona manufaa.

 Kama kuna mahali kwenye Sheria mnataka tubadilishe tuko tayari, naamini kwa pamoja tutafika.

Aliyoyasema Waziri wa Madini Doto Biteko

 Asante Mhe. Rais, umetuongezea timu nzuri. Prof. Manya amekuwa Tume ya Madini kwa kipindi cha miaka Mitatu anaijua Sekta ya Madini. Mimi na wenzangu wizarani tuna imani naye.

 Mhe. Rais hakuna kitu hata kimoja usichokijua kwenye Sekta ya madini, naomba nikuahidi mbele yako na Watanzania kuwa tutaiendeleza Sekta ya Madini.

Naibu Waziri wa Madini Mhe. Prof. Shukrani Manya akisoma kiapo wakati wa hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Disemba 11, 2020.

 Ni kweli utoroshaji wa madini bado upo. Mwezi Agosti na Septemba makusanyo yalishuka, lakini hivi sasa tumeweka Mikakati Maalum, hali itaimarika.

Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Madini tarehe 11 Desemba, 2020

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Français Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film érotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno caché Porno de qualité HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secrétaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vidéo Amateur Vidéo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link