Wadau Maonesho ya Geita Watembelea Mgodi wa GGM

Wadau mbalimbali wanaoshiriki Maonesho ya  Pili ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini leo Septemba 27, 2019, wametembelea Mgodi wa Dhahabu wa GGM unaomilikiwa na Kampuni ya Anglo Gold Ashanti.

Wadau waliotembelea Mgodi wa GGM wakimsikiliza Mtaalam kutoka kampuni hiyo (hayupo pichani) akiwaeleza masuala mbalimbali kuhusu shughuli za uhifadhi wa mazingira mgodini hapo.

Ziara hiyo imelenga katika kujifunza kuhusu namna shughuli za uchimbaji na uzalishaji wa Madini ya Dhahabu unavyofanyika mgodini hapo huku lengo kuu likiwa kuona teknolojia mbalimbali zinazotumika katika uchimbaji wa madini.

Aidha, mbali na kujifunza kuhusu uzalishaji na uchimbaji, wadau hao wameelimishwa kuhusu masuala mazima kuhusu namna mgodi huo unavyoshughulikia masuala ya mazingira, usalama na afya mgodini.

Akizungumzia masuala ya jamii, Afisa anayehusika na Masuala ya Mahusiano na Jamii mgodini hapo Musa Shunasu, ameeleza mgodi huo umekuwa ukitoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo,  kufadhili miradi mbalimbali, pia kwa kushirikiana na Wizara ya Madini umeanzishwa mgodi wa mfano wa Lwamgasa unaolenga katika kutoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo ili waweze kuchimba kwa tija. Aidha, mgodi huo umesaidia jamii katika masuala mengine mbalimbali yakwemo ya elimu na afya

Akijibu hoja kuhusu madai mbalimbali ya wananchi kuhusu masuala ya fidia amesema kwamba mwananchi yoyote katika eneo linazunguka mgodi huo ama aliye mbali ya eneo hilo anaruhusiwa kuwasilisha malalamiko yake kwa mgodi.

Moja ya sehemu ambayo shughuli za uchimbaji wa dhahabu zinafanyika.

Kwa mujibu wa Shunasu, kampuni hiyo ina zaidi ya migodi 16 maeneo mbalimbali duniani, huku hapa nchini ulianza shughuli za uzalishaji mwaka 2000.

Amesema Dira ya kampuni hiyo ni kuchimba dhahabu kuwa kampuni inayoongoza kwa uchimbaji, usalama, mazingira na jamii.

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link