Wadau wa Sekta Madini Watembelea Mgodi wa GGML

Tito mselem na Godwin Masabala -Geita

Wadau wa mbalimbali wa Sekta ya Madini walioshiriki Maonesho ya Tatu ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayoendelea mkoani Geita leo Septemba 25, 2020 wametembelea Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML) ili kujifunza na kujionea Teknolojia katika Sekta hiyo.

Katika ziara hiyo wadau wote walipatiwa semina elekezi ili kujua Sheria na Taratibu zilizopo katika mgodi huo hususan katika eneo la usalama.

Kamishina Msaidizi wa Ushirikishwaji wa Wazawa Torrence Ngole kutoka Wizara ya Madini wa pili kutoka kulia akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa Sekta Madini walipotembelea mgodi wa GGML Septemba 25, 2020

“Sheria inatutaka kama kuna watu wanaokuja kututembelea lazima tuwape semina elekezi katika upande wa Usalama  lakini kwa Wafanyakazi inakuwa ni mafunzo ya muda mrefu, sisi kwetu usalama ndiyo kipaumbele chetu ili kila moja atoke akiwa salama”, alisema Afisa Mafunzo Mwandamizi wa GGML, Bw. Sebastian Malunde.

Eneo la GGML asilimia kubwa lipo ndani ya msitu wa hifadhi, hivyo mgodi unahakikisha wanyama wanaoishi katika msitu huo wanakuwa salama na pia tunaheshimu utu wa kila moja na kujali mchanganyiko na sio kabila Wala rangi “, aliongeza Malunde.

GGML ambayo ina makao makuu ya Afrika Kusini ndiyo Kampuni ya 3 Duniani inayozalisha Madini ya Dhahabu.

Imeelezwa kuwa, Madini ya Dhahabu yaligunduliwa Geita mwaka 1856 lakini utafiti ulianza mwaka 1936 wakazalisha mpaka 1966 baada ya hapo mgodi ukafungwa mpaka mwaka 1994 ambapo utafiti ukaanza kwa Mara nyingine na Kampuni ya Sammax ili kujilizisha ambapo mwaka 1999 utafiti ukawa umekamilika.

Inasemakana kuwa, Mwaka 2000 uzalishaji ulianza katika mgodi GGML ambapo mpaka sasa mgodi huo unaongoza kwa uzalishaji wa dhahabu Afrika mashariki.

Kuanzia mwaka 2000 hadi 2017 Wakia Milioni 8.3 za dhahabu zilizalishwa.

“Tunajivunia kuwa wachangiaji wakubwa wa maendeleo nchini Tanzania ambapo pia mgodi huo una wafanyakazi zaidi 3500”, alisema Meneja Mahusiano John Mangilima.

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link