Watumishi Wizara ya Madini watoa msaada kwa yatima

Na Tito Mselem Dodoma,

Watumishi wa Wizara ya Madini leo Mei 20, 2020 wametoa misaada mbalimbali kwa watoto yatima waliopo katika kituo cha Rahman Orphanage Center kilichopo jijini Dodoma.

Baadhi ya watumishi walioshiriki katika kukabidhi msaada katika kituo cha watoto yatima cha Rahman Orphanage Center kilichopo jijini Dodoma

Msaada huo ni michango kutoka kwa watumishi wa wizara hiyo waliojitolea ili kusaidia upatikanaji wa huduma mbalimbali kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

Akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada huo Afisa Utumishi wa Wizara ya Madini Justine Mdamila, alisema licha ya kushughulika na mambo ya Wizara ya Madini wameona vyema wakajitolea masaada huo ili kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

ÔÇťTunaamini watoto hawa ni sehemu ya jamii yetu ndiyo maana tumeguswa na watoto hawa na kukaona vyema kuleta mcgango wetu na tunaahidi kuendelea kujitolea na kuwapa upendo pamoja na kuwafariji.ÔÇŁ  alisema Mdamila.

ÔÇťTulichotoa leo ni kidogo lakini tunaamini kitawasaidia na kitagusa mioyo yenu, zaidi mtambue Wizara ya Madini tuko pamoja nanyi siku zote.ÔÇŁ Mdamila liongeza.

Nae, Mhasibu Mwandamizi wa Wizara ya Madini Laina Kasingwa amesema watoto yatima wanamahitaji mbalimbali hivyo nivema watu wakawasaidia hasa katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kuahidi kuendelea kuchanga Zaidi kwa ajili ya kuwapa misaada mbali mbali.

upande wake Mkurugenzi wa kituo cha Rahma Orphanage, Center Rukia Khamisi aliwashukuru watumishi wa Wizara ya Madini kwa kujitolea msaada huo ambapo aliomba waendelee na moyo huo huku akiomba wizara na mashirika mengine yaendelee kujitoa kusaidi watoto hao wadogo wanaoishi katika mazingira magumu.

ÔÇťKituo hiki kina zaidi ya watoto 30 ambapo watoto 10 ni wakiume na watoto 22 ni wa kike ambao hawana wazazi na baadhi wana mzazi mmoja ambae ni mlemavu wa kudumu, hivyo kituo hiki kinategemea misaada kutoka kwa washirika mbalimbali na watu binafsi na ndiyo maana tunawashukuru sana kwami msaada huu ni muhimu sana kwetu.ÔÇŁ

Msaada ambao wamepokea leo ni pamoja na sukari, Mchele, mafuta, Juice, Soda, mafagio, Sabuni, takasa mikono mkungu wa ndizi, unga, chunvi na vingine vingi.

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link