Waziri Biteko Afuta Leseni Sita za Wafanyabiashara wa Madini Chunya

Na, Tito Mselem, Chunya

Waziri wa Madini Doto Biteko, amefuta Leseni Sita za Wafanyabiashara wa Madini ya Dhahabu ambao wanatuhumiwa kujishughulisha na utorashaji wa madini wilayani Chunya.

Watuhumiwa hao, wametakiwa kutojishughulisha na shughuli yoyote ya Madini nchini.

Wakati huo huo, Waziri Biteko, ameagiza kuondolewa kwa Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa Madini ya dhahabu anaye husika na usimamizi wa Soko la Madini la Chunya Gagala Poul.

Vile vile, Waziri Biteko amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Ofisi ya Madini wa Mkoa wa kimadini wa Chunya baada ya kutuhumiwa kushirikiana na wafanyabiashara kutorosha madini, ambao watumishi hao ni Gabliel Masai, Edward Gavana na George Wandiba.

Pia, Waziri Biteko, ameagiza kusajiliwa kwa Mialo yate inayo chenjua madini ya dhahabu wilayani Chunya ili kujua mwalo gani umezalisha kiasi gani cha dhahabu na dhahabu hiyo imepelekwa kuuzwa soko gani.

ÔÇť Bora tubaki na wanunuzi wawili wa madini ya dhahabu ambao ni waanifu kuliko kuwa na mlolongo wa wanunuzi ambao sio waaminifu na wasio fuata kanuni, taratibu na sheria zilizowekwa,ÔÇŁ amesema Waziri Biteko.

Waziri Biteko amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila kuwapa zawadi wale wote watakao saidia kupatikana kwa watu wanao torosha madini.

ÔÇťNiwaombe wachimbaji na wafanyabiashara wote wa madini kutoa ushirikiano kwa Serikali ili kukomesha tatizo la utoroshaji madini, tunataka nidhamu kwenye sekta ya madini ili tulete tija na maendeleo nchini,ÔÇŁ amesema Waziri Biteko.

Pia, Waziri Biteko, amewataka wachimbaji na wafanyabiashara wote wa madini nchini kuhakikisha wanapeleka madini yao sokoni na kuachana na ufanyajibiiashara ya madini nje ya masoko ya madini.

Naye, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amepongoza Waziri wa Madini kwa kuchaguliwa kuwa mbunge wa Bukombe na kuteuliwa tena kuwa Waziri wa Madini.

Pia, Chalamila amesema Serikali imeshaanza kujenga gereza ili watu watakao kamatwa wakitorosha madini hawatapelekwa mbeya mjini bali watafungwa katika gereza hilo.

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link