Waziri Biteko akemea vitendo vya utoroshaji madini

Waziri wa Madini Doto Biteko  amewataka wafanyabiashara wa madini kujiepusha na vitendo vya utoroshaji wa madini kwani serikali hailali inafanya kazi usiku na mchana.

Baadhi ya wafanyabiashara wa madini walioshiriki katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa TAMIDA uliofanyika katika ukumbi wa Four Point by Sheraton jijini Arusha


Waziri Biteko ameyasema hayo wakati akifungua mkutano mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara wa Madini (TAMIDA) ulioambatana na uchaguzi wa viongozi wa chama hicho ambapo ameeleza kuwa bado kuna wafanyabiashara wakubwa 12 wanaotorosha madini ambapo wapo katika utaratibu wa kuwachukulia hatua za kisheria.


Kutokana na hilo amewataka wafanyabiashara hao kutokukubali kutorosha madini kwani utoroshaji haulipi  katika nchii hii hivyo anatamani kuona watu wakiomba vibali vya kuja kununua madini hapa nchini kutokana na masoko waliyoyafungua.


Aidha katika uchaguzi huo wa viongozi wa TAMIDA Waziri Biteko aliwataka kuchagua viongozi  wenye uwezo watakaoweza kukifanya chama hicho kiweze kuwaleta wafanyabiashara kutoka nje kuja kununua madini hapa nchini.


Kwa upande Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo amesema uchaguzi huo utaifanya TAMIDA kuendelea kuwa chama kikubwa chenye uwakilishi wa kutosha na kuwawezesha wafanyabiashara kufanya biashara vizuri.


“Niwaombe wanachama wote mchague kiongozi atakae saidia kukiimarisha chama hiki ili kiwe chama kikubwa na chenye uwakirishi nchi nzima maana kwasasa chama hiki kinaonekana kama chama cha watu wa Arusha,” alisema Nyongo. 

Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akizungumza jambo katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa TAMIDA uliofanyika katika ukumbi wa Four Point by Sheraton jijini Arusha


Naye mwenyekiti anayemaliza Muda wake Sam Mollel ameishukuru serikali kwa kufungua masoko ya madini kila  mkoa ambapo imewawezesha wafanyabiashara  kuwa na uhakika wa kuuza madini yao bila kupata changamoto.

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link