Waziri wa Madini Amekabidhi Eneo Kwa Wachimbaji Wadogo

Na Tito Mselem, Geita

Waziri wa Madini, Doto Biteko amewakabidhi wachimbaji wadogo eneo lenye ukubwa wa hekali 70 lililokuwa linamilikiwa na kampuni kubwa ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Ore Cop ili walitumie kwa shughuli za uchimbaji baada ya wachimbaji hao kuliomba eneo hilo kwa muda mrefu.

Waziri wa Madini Doto Biteko (kushoto) akimsikiliza Mbunge wa Nyang’hwale ambae pia ni mchimbaji wa madini ya dhahabu Hussen Nasoro, Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Hamimu Guyama.

Makabidhiano ya eneo hilo lililopo katika kijiji cha Bululu kata ya Nyanzaga Wilaya ya Nyang’hwale Mkoani Geita yamefanyika Novemba 03 danabolds.net, 2019 huku wananchi wa eneo hilo wakifurahia na kuipongeza serikali kwa uamuzi huo.

“Tanzania toka ipate Uhuru sekta ya madini imeanza kuonesha mchango mkubwa katika pato la taifa ambapo awali tulikuwa tunaona kiasi kidogo cha mchango katika pato la nchi hii, hata usimamizi wake haukuwa mkubwa lakini baada ya Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli kuingia madarakani mchango wa sekta hii umeanza kuonekana,” alisema Biteko.

Waziri Beteko aliongeza kuwa, ndoto za serikali hii ni kutaka kuona wananchi wanamiliki uchumi wa madini, tunataka watanzania wawe madigala kuliko kuwaachia wageni kuwa wanunuzi wakubwa wa madini (madigala).

Pia, Biteko amewataka Wachimbaji wadogo kupendana, kushirikiana na kushikamana, mmoja akipata mwingine asichukie maana haiwezekani wote watajirike kwa wakati mmoja.

Wakati huo huo, Waziri Biteko ametoa onyo kali kwa wale wote wanao fanya shughuli za madini bila kuwa na kumbukumbu kwenye kitabu cha uzalisha zinazoonesha kiasi walichozalisha.

Alitoa onyo hilo mara baada ya kutembelea Mgodi wa Domain Gold Plant uliopo katika Wilaya Nyang’hwale Mkoani Geita na kubaini uzembe wa kutotunza kumbukumbu za uzalishaji madini ya dhahabu katika mgodi huo.

Baadhi ya mitambo ya kuchenjulia dhahabu katika mgodi wa Domain Gold Plant uliopo Katika kata ya Bululu Wilayani Nyang’hwale Mkoa wa Geita.

Kwa upande wake, Rais wa Wachimbaji Wadogo wa Madini Nchini, Jonh Bina amewaambia wananchi wa Nyang’hwale kwamba amekuja kushuhudia kama eneo waliloliomba wachimbaji hao ni lenyewe na kuwahakikishia kuwa eneo hilo  ndilo.

Nae, Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya amewataka Wachimbaji wanaotegemea kupewa leseni za uchimbaji katika eneo hilo kupendana na kuchimba kwa kufuata taratibu na sheria ya madini huku wakiachana na mambo ya ugomvi.

“kwa uzoefu wetu wa muda mrefu wachimbaji wakati mnaunda vikundi mnakuwa na upendo mkubwa lakini mnapoanza kuchimba dhahabu kule chini mnaanza kugombana, hatutaki kuja kusuruhisha migogoro pendaneni na mchimbe kwa kufuata taratibu zinazoongozwa na sheria ya madini,” alisema Prof. Manya.

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Français Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film érotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno caché Porno de qualité HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secrétaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vidéo Amateur Vidéo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link