Wizara ya Madini Kuanzisha Leseni Mpya ya Ukataji Madini

Na Issa Mtuwa – Dodoma

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema wizara yake ipo kwenye utaratibu wa kuandaa muswada na kuupeleka bungeni kwa ajili ya kuanzisha leseni mpya ya ukataji madini kwa lengo la kuyaongezea thamani madini yanayopatikana nchini. Nyongo aliyasema hayo wakati wa mkutano wa kujadili masuala ya uziduaji na kupitia kitabu kilichoandikwa na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Willium Mganga Ngeleja kinacho zungumzia masuala ya madini katika nyanja mbalimbali.

Washiriki mbalimbali wa mkutano wakiwemo Wabunge na Wanasheria wakifuatilia mijadala mbalimbali.

Akizungumzia kuhusu leseni hiyo mpya, Nyongo alisema hivi sasa wizara imezuia kusafirisha madini ghafi nje ya nchi ili kuyaongezea thamani nchini. Aliongeza kuwa, kutokana na hali hiyo kuna mahitaji makubwa ya wataalam wa kukata na kuongeza thamani ya madini jambo lililopelekea kuwepo na mchakato wa kuanzisha leseni hiyo.

Pamoja na hayo, Naibu Waziri Nyongo, alileza namna marekebisho ya sheria ya madini ya mwaka 2017 ilivyoleta mabadiliko kwenye sekta ya madini ambapo masuala mengi hivi sasa yanaleta tija kama vile kuongezeka kwa uwazi katika masuala mbalimbali ya kiutendaji ya wizara kwa wadau wa madini.

Alisema, nia ya marekebisho ya sheria ni pamoja na kutumia sekta ya madini kuweza kuwaneemesha watanzania wote, kuangalia namna y sekta ya madini inavyoweza  kufungamanishwa na sekta nyingine ili kusudi watanzania waweze kunufaika na mapato yatokanayo na madini na kuhakikishia sekta ya madini inachangia vya kutosha kwenye pato la taifa.

Kuhusu uwazi katika utendaji, Nyongo alisema marekebisho ya sheria ya 2017 ndio yaliyopelekea kufutwa kwa Taasisi ya Ukaguzi wa Madini (TMAA) na kuanzishwa kwa Tume ya Madini, Taasisi iliyopewa mamlaka ya kusimamia masuala yote ynayohusiana na sekta ya madini ikiwa ni pamoja na utoaji wa leseni.

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akifafanua jambo wakati wa mkutano wa Uziduaji.

ÔÇťMakamishna wa madini wa Tumendio waliopewa jukumu la kupitia na kutoa mapendekezo ya utoaji wa leseni kubwa ÔÇťSpecial Mining License – SMLÔÇŁ na kisha kuwasilishwa kwenye chombo chenye maamuzi ya kutoa leseni ambacho kinahusisha ┬áBaraza la Mawaziri.

Jambo hii limefanyika kwa makusudi ili kuweka uwazi na kuondoa mashaka ya uwepo wa rushwa na urasimu ambao ulikuwepo kabla ya markebisho hayo.

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link