Wizara ya Madini Yampokea Rasmi Prof. Manya

  • Awashukuru Watumishi kwa ushirikiano

Aliyoyasema Waziri wa Madini, Doto Biteko

  • Tufurahie tujikua na kukumbuka tuna kazi kubwa mbele yetu za kufanya, kinachotakiwa kwetu kwa sasa ni matokeo, kama mnavyofahamu umuhimu wa sekta yetu kwa maendeleo ya nchi.
Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye kikao kazi cha kumpokea Naibu Waziri wa Madini Prof. Shukrani Manya kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, Disemba 11, 2020.
  • Nyumba yetu inafuraha sana, tumepata kiongozi ambaye ametoka miongoni mwetu, namshukuru sana Mungu kwa ajili yako, kama familia ya madini tunakupongeza sana.
  • Ukiona Mhe, Rais ambaye ana watu zaidi ya milioni 20 amekuchagua, ni kwasababu ya matokeo mazuri yaliyoonekana kwenye sekta ya Madini. Mafanikio haya si ya Manya ni kwenu nyote, nawapongeza sana kwa ushirikiano mliompatia ikapelekea kupanda nafasi
  • Uchimbaji wa makaa ya mawe lazima uanze.

Aliyoyasema Naibu Waziri wa Madini, Prof. Shukrani Manya

  • Sisemi kwamba ni kwasababu ya uelewa, vipaji, taranta wala maarifa bali wizara na taasisi zake hususan Tume ya Madini. Matokeo yenu mazuri yamenipa ngazi ya kupandia, yaliyofanyika kwenye Sekta ya Madini yanaonekana.
  •  Mhe. Rais anatamani Sekta ya Madini kutoka hatua moja kwenda nyingine, tuendelee kufanyiakazi maono yake ili tujenge uchumi wa nchi yetu.
  • Nashukuru nipo kwenye jamii ya watu ninaowafahamu, nawashukuru sana kwa ushirikiano mlionipatia kwa kipindi cha miaka mitatu ambayo tumefanya kazi pamoja, tuendelee kushirikiana ili Sekta ya Madini iendelee.
  • Naamini nitaendelea kuwa bora ili kuwa kiongozi niitumikie nafasi hii. Ubunge ni kitu ambacho sikuwahi kukiwaza, naamini kwa pamoja tutavuka.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Madini Prof. Simon Msanjila.

  • Amekuja mwenzetu tunajuana, kama ni madaraka atajifunza, tunaahidi kuendelea kushirikiana.
Naibu Waziri wa Madini Mhe. Prof. Shukrani Manya akizungumza wakati wa kikao kazi na watumishi wa Wizara ya Madini kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, Disemba 11, 2020.

Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Madini tarehe 11 Desemba, 2020

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal