Wizara ya Madini Yatoa Kongole Maonyesho ya Geita

Steven Nyamiti na Tito Mselem-Geita

Viongozi  na Wataalam wa Wizara ya Madini wamekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel katika Maonesho ya Tatu ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano uliopo ndani ya viwanja vya Maonesho hayo.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (Katikati) akizungumza na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Dkt. Mussa Budeba (kulia) na kushoto ni Kamishina Msaidizi wa Ushirikishwaji wa Wazawa katika Uchumi wa Madini (Local Content) Terrence Ngole.

Mhandisi Gabriel amewaeleza Wataalam na Viongozi wa Wizara ya Madini namna Mkoa wa Geita unavyosimamia shughuli za uchimbaji madini kwa ushirikiano na Afisa Madini Mkoa.

Mhandisi Gabriel amewataka Wadau kushirikiana na Wizara hususani Wachimbaji Wadogo ili kuchimba kwa tija kwa kutumia Teknolojia rahisi na za kisasa.

Wakati huo huo, Viongozi hao wametembelea banda la Wizara ya Madini na kupongeza maandalizi mazuri yaliyofanyika na namna wanavyo elimisha umma juu ya masuala mbalimbali yanayosimamiwa kwenye Sekta ya Madini ikiwepo Sheria na Kanuni mbalimbali zinazosimamia sekta hiyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini, Dkt. Mussa Budeba amewapongeza waandaaji wa banda la Wizara ya Madini kwa kuonesha ushirikiano mkubwa katika kutoa elimu kwa Wachimbaji Wadogo katika maonesho hayo.

Akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Gabriel, Kamishina Msaidizi wa Ushiriki na Ushirikishwaji wa Wazawa katika Uchumi wa Madini (Local Content) Terrence Ngole, amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Geita kwa uratibu mzuri wa maonesho hayo.

Maonesho hayo yenye Kauli mbiu ÔÇťMadini ni Uchumi,┬á 2020 Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo ya TaifaÔÇŁ┬á┬á yanahudhuliwa na Kampuni zaidi ya 420.

About the Author

You may also like these

gaziantep escort
Porno Gratuit Porno Fran├žais Adulte XXX Brazzers Porn College Girls Film ├ęrotique Hard Porn Inceste Famille Porno Japonais Asiatique Jeunes Filles Porno Latin Brown Femmes Porn Mobile Porn Russe Porn Stars Porno Arabe Turc Porno cach├ę Porno de qualit├ę HD Porno Gratuit Porno Mature de Milf Porno Noir Regarder Porn Relations Lesbiennes Secr├ętaire de Bureau Porn Sexe en Groupe Sexe Gay Sexe Oral Vid├ęo Amateur Vid├ęo Anal

porno Seks hikayeleri Seks hikayeleri porno izle dubai escorts bordell berlin short link