Tarehe : May 24, 2022
Ndugu Wanahabari,
Sekta ya Madini ina historia ndefu kuanzia enzi za ukoloni. Kabla ya uhuru sekta ilisimamiwa na Geological Survey of Tanganyika iliyoanzishwa mwaka 1923 ambayo iliendesha utafiti wa madini ya dhahabu, almasi, bati, ulanga, chumvi, kiko na tungsten. Matokeo ya utafiti huu ilikuwa ni kuanzishwa kwa mgodi wa almasi wa Mwadui. Wakati wa uhuru migodi ambayo ilikuwapo ilikuwa ni Buhemba, Kiabakari, Mara mine, Mwadui, Geita mine, Lupa mine, Mkwamba mine-Mpanda. Katika kipindi cha miaka 50 kufikia Azimio la Arusha (1967) kiasi cha tani 64 cha dhahabu kilizalishwa na migodi iliyotajwa hapo juu ambayo ilikuwepo balaya uhuru. Baadaya Azimio la Arusha migodi mingi haikuweza kuendelea kwasababu ya hali mbaya ya soko la dhahabu na pia kukosekana kwa mitaji kutoka nje kufuatia mabadiliko ya sera ya uwekezaji
by: madini
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameshiriki Mkutano wa Pili wa Mawaziri wa Madini Afrika …
by: madini on: Oct. 7, 2022, 11:20 a.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
Kutokana na mwenendo mzuri wa makusanyo ya Serikali yanayotokana na rasilimali Madini, Mkoa wa Tabo…
by: madini on: Sept. 29, 2022, 12:51 p.m.