[Latest News]: Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adolph Ndunguru

Tarehe : Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
left

Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hii ambayo mamlaka imeniamini nitaweza kuitumikia. Na mimi natoa shukrani nyingi kwa fursa niliyopata.

Wakati juzi nasikia uteuzi wa Bw. Adolph Nduguru kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maadini nilipata moyo sana nitaenda vizuri kwa sababu ya Prof. Msanjila, Dkt. Biteko na Prof. Manya kwasababu ni watu ambao nilio nao karibu nikajua watakuwa viongozi wangu wazuri sana.

Kiongozi si anayefanya kila kitu bali anayeunganisha nguvu.

Nimetiwa moyo zaidi nilipoingia pale mlangoni nikaona nyuso zenye furaha, amani na utulivu nikaona sina shaka hata kidogo kazi itaendelea kama tulivyosema.

Nipo hapa kama kiongozi na mtumishi kujenga timu hii iliyopo hapa tunaahidi tutaendelea kuijenga kama ilivyojengwa na viongozi walionitangulia, sina shaka na viongozi walionitangulia.

Tuendelee kujenga na kusukuma gurudumu hili la Sekta ya Madini mbele ili kutumikia taifa letu ipasavyo na kumsaidia Mhe. Rais azma yake kupeleka maisha bora kwa watanzania.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals