[Speech]: HOTUBA YA WAZIRI WA MADINI DKT. DOTO BITEKO

Tarehe : July 13, 2022
HOTUBA YA WAZIRI WA MADINI DKT. DOTO M. BITEKO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI AKIFAFANUA UTEKELEZAJI WA VIPAUMBELE VYA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 TAREHE 12 JULAI, 2022 – MKOANI GEITA NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Ndugu Wanahabari, Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wa Rehema zake ambazo zimetuwezesha kukutana mahali hapa tukiwa wazima na kutuwezesha kukamilisha mwaka wa Fedha 2021/22 kwa mafanikio makubwa. Ndugu Wanahabari, Kwetu sisi Sekta ya Madini, Mwaka wa Fedha 2021/22 ulikuwa ni mwaka wa kazi na matokeo. Kwanza, tumeweza kukusanya Maduhuli ya Serikali ya shilingi bilioni 622.5 sawa na asilimia 96.

by: madini

Latest News
Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Dkt. Kiruswa Aagiza Tathmini Mgodi wa Nyanzaga Ih…

NAIBU Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amemtaka Mthamini Mkuu wa Serikali Evelyne Mugasha kukam…

by: madini on: June 9, 2022, 8:46 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals