Tarehe : Sept. 4, 2024
Lengo kuu la kikao hiki ni kupata fursa ya kutoa maoni kuhusu maboresho ya Kanuni za Wajibu wa Wamiliki wa Leseni za Madini kwa Jamii, (CSR) za Mwaka 2023. Sote tunakumbuka kuwa mwaka 2023 Wizara ya Madini ilitunga Kanuni za Wajibu wa Wamiliki wa Leseni za Madini kwa lengo la kutoa mwongozo kwenye fedha inayotolewa na Kampuni za Madini kwa Jamii inayozunguka migodi kama sehemu ya wajibu wa kampuni hizo kwa jamii kupitia miradi inayotekelezwa kupitia program za CSR. Aidha, lengo jingine la Kanuni hizo ni kuhakikisha kuwa kunakuwepo na ushirikishwaji wa pamoja kati ya Jamii na kampuni za madini katika utekelezaji wa miradi ya jamii.
by: madini
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameshiriki Mkutano wa Pili wa Mawaziri wa Madini Afrika …
by: madini on: Oct. 7, 2022, 11:20 a.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
The Ministry of Minerals informs the public and mining sector stakeholders that Tanzania, in collab…
by: madini on: Jan. 24, 2024, 7:59 p.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.