Tarehe : Jan. 17, 2024, 9:17 a.m.
Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) ni chuo cha Serikali chini ya Wizara ya Madini kilichopo Arusha kinatoa mafunzo ya uongezaji thamani madini.
TGC (Chuo cha Madini Arusha) imefungua dirisha la maombi ya mafunzo ngazi ya VETA (NVA LI-III) kwa mwaka wa masomo 2023/2024 katika fani ya Gemstone, Cutting, Polishing and Carving.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.