[Latest Updates]: Wanafunzi Feza Watembelea Jengo la Wizara ya Madini Mtumba

Tarehe : May 3, 2025, 8:36 p.m.
left

Dodoma

Jumla ya Wanafunzi  wapatao 114 wa Shule ya Msingi FEZA ya jijini Dar Es Salam walioambatana na walimu wao 12, Mei 3, 2025 walitembelea Ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma  ambapo walipata wasaa wa kutembelea mradi wa Jengo jipya lililo katika hatua za mwisho za kukamilika kwake.

Wanafunzi hao na walimu wao  Mei 2, 2025 walikuwa miongoni mwa  wageni wa Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde waliopata nafasi ya kusikiliza hotuba ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 iliyowasilishwa na  Mhe.Anthony Mavunde bungeni Dodoma. 

Wakiwa Wizarani, wanafunzi hao waliemishwa na kufahamishwa kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Madini nchini kutoka kwa wataalam wa Wizara.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals