[Latest Updates]: Wataalam sekta ya madini wafanya ziara ya mafunzo GGM

Tarehe : Aug. 28, 2018, 8:54 a.m.
left

Wataalam kutoka Taasisi za Serikali zinazohusika na Sekta ya Madini ndani na nje ya nchi ambao wanapata mafunzo kuhusu ufungaji wa migodi yanayotolewa na Wakufunzi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya nchini Canada (CIRDI), wamefanya ziara katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM).

Ziara hiyo imefanyika baada ya kupata mafunzo kuhusu uhifadhi wa mabaki ya uchenjuaji (tailings) ili usilete madhara kwa binadamu na mazingira kwa ujumla hivyo katika Mgodi huo  wamejifunza kwa vitendo jinsi GGM inavyohifadhi mabaki hayo ya uchenjuaji pamoja na utunzaji wa mazingira baada ya uchimbaji kufanyika.

Imeandaliwa na:

Teresia Mhagama,

Afisa Habari,

Wizara ya Madini,

5 Barabara ya Samora Machel,

S.L.P 2000,

11474 Dar es Salaam,

Simu: +255-22-2121606/7, Nukushi: +255-22-2121606,

Barua Pepe: info@madini.go.tz,                                                                               

Tovuti: madini.go.tz

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals