Tarehe : May 1, 2025, 8:25 p.m.
Leo Mei 1, 2025, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amekutana na Watumishi Wanamichezo wa Wizara ya Madini waliokuwa wakishiriki katika Mashindano ya Mei Mosi Mkoani Singida.
Mbibo amekutana na watumishi hao baada ya Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani humo ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi.
Timu za michezo ya Kamba na mengine za Wizara ya Madini zilikuwa miongoni mwa zilizoshiriki katika michezo hiyo iliyoanza tarehe 16 Aprili, 2025 na kufikia kilele leo tarehe tarehe 1 Mei, 2025.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.