Tarehe : May 19, 2025, 2:41 p.m.
Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la Uwekezaji kwa Sekta ya Madini lililobeba agenda ya Uongezaji Thamani Madini (Minerals Beneficiation And Value Addition),
Jukwaa hilo ni fursa kubwa ya kuvutia wawekezaji wa kujenga viwanda nchini Tanzania na kuondokana na utegemezi wa kusafirisha madini ghafi jambo ambalo litasisimua ukuaji wa uchumi na kuongeza ajira kwa Watanzania.
Ujumbe huo umepokelewa vizuri na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Mbelwa Kairuki, ambapo mazungumzo mafupi kuhusiana na vikao vinavyotarajia kuanza tarehe 20.05.2025 hadi 22.05.2025 yamefanyika
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.