Tarehe : March 12, 2024, 1:33 p.m.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo anaongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Tisa wa Wataalam na Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Nchi zinazozalisha Almasi Afrika (ADPA) unaofanyika katika mji wa Victoria Falls, nchini Zimbabwe kuanzia leo Machi 12 hadi Machi 14, 2024.
Mbibo ameambatana na Kamishna Msaidizi wa Madini - Sehemu ya Uendelezaji Uchimbaji Mdogo ambaye pia ni Mratibu wa ADPA Tanzania, Francis Mihayo pamoja na Afisa Tawala, Henry Shadolo.
Katika siku yake ya kwanza Machi 12, 2024, Mkutano huo unatarajiwa kuwa na mjadala kuhusu uongezaji thamani wa Almasi ghafi barani Afrika.
Taarifa kamili itawasilishwa baadaye..
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.