Tarehe : June 13, 2023, 9:51 a.m.
Leo Juni 12, 2023 Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko jijini Dodoma, amekutana na Wakuu wa Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Madini kwa lengo la kuangalia namna bora ya kusimamia biashara ya madini hususan ya tanzanite na mengine ya vito sambamba na kuweka mikakati ya kutangaza madini hayo duniani.
Viongozi wengine wa Wizara waliohudhuria katika kikao hicho ni pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, Wakuu wa Taasisi, Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Madini, Tume ya Madini, Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) na Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI).
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.