Tarehe : June 16, 2026, 2:53 p.m.
Wizara ya Madini na Taasisi zake zote inashiriki Wiki ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Wananchi wote mnakaribishwa katika Banda la Wizara ya Madini kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali kuhusu Sekta ya Madini.
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanafanyika kuanzia tarehe 16- 23 Juni, 2026 na yanabebwa na Kaulimbiu isemayo *Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu*
#Vision2030:Madinini MaishanaUtajiri
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.