[Latest Updates]: Waziri Mavunde Ateta na Balozi wa Qatar Nchini

Tarehe : Feb. 24, 2026, 10:27 a.m.
left

Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde leo tarehe 24 Februari, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mheshimiwa Fahad Rashid Al Marekhi katika ofisi ndogo za Wizara ya Madini jijini Dar es Salaam.

Mazungumzo yao yalijikita katika kumarisha ushirikiano kwenye sekta ya madini hususan katika uongezaji thamani wa madini nchini na kuvutia uwekezaji kwenye sekta ya madini nchini kupitia Kampuni mbalimbali zilizopo nchini Qatar.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals