[Latest Updates]: Aliyoyasema Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Madini

Tarehe : Feb. 22, 2022, 12:05 p.m.
left

Hakuna jambo ambalo tutaacha kulifanyia kazi

Mkutano wa mwaka huu ni mwendelezo wa mkutano ulioanza mwaka 2019 lengo ni kujadili yanayotokea, wapi tunakwama na tunasonga mbele. Matokeo yaliyotokea ni kipimo cha sababu ya kuendelea kukutana.

Mikutano hii inaleta mitaji ya uwekezaji, tumehuhudia wengi wamejitokeza baada mikutano, shughuli za utafiti wa Gesi ya Helium zinaendelea kufanyiwa. Mhe. Makongoro ameleta zaidi ya makundi matatu 3 kwa ajili ya shughuli za uongezaji thamani madini.

Mawaziri wenzangu wameniambia wana jambo la kujifunza Tanzania.

Nafahamu Wakuu wa Mikoa wanafanya kazi na sisi na sekta nyingine, nawashukuru sana Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwa kazi nzuri ya usimamizi wa sekta ya madini.

Kwa FEMATA yapo yanayohitaji muda, yapo tunayoweza kufanya na yapo yanayoweza kusubiri.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals