Tarehe : June 15, 2025, 5:49 p.m.
Dodoma
Wizara ya Madini na taasisi zake ikiwemo Tume ya madini na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), leo Juni 16, 2025 zimeanza rasmi kushiriki Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Chinangali Park.
Maonesho hayo yanayosimamiwa na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ambapo kwa mwaka huu 2025 yanabebwa na kaulimbiu inayosema " Himiza Matumizi ya Mifumo ya Kidijiti ili kuongeza Upatikanaji wa Taarifa za Kuchagiza Uwajibikaji"
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.