[Latest Updates]: Naibu Katibu Mkuu Madini Aungana na Wanawake Ubalozi wa Korea Kusini Siku ya Wanawake

Tarehe : March 8, 2024, 1:09 p.m.
left

Seoul

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo ameungana na   Wanawake wanaofanyakazi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini ikiwa ni sehemu ya Kuadhimisha Kilele cha Siku ya Wanawake Duniani.

Mbibo alikuwa nchini humo kushiriki Mkutano wa Wadau wa Madini Mkakati wa Asia na Afrika ulioandaliwa na  Institute of Geoscience and Mineral Resources ( KIGAM) ya nchini humo. 

Mbibo ametumia fursa hiyo kutambua nafasi na mchango wa Wanawake katika maendeleo ya nchi.

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake hufanyika  tarehe 8 Machi ya Kila Mwaka.

Mwaka huu Maadhimisho hayo yamebebwa na Kauli mbinu isemayo  Wekeza kwa Wanawake kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Jamii.

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals