[Latest Updates]: Mazungumzo

Tarehe : Feb. 15, 2024, 8:44 a.m.
left

 

Leo Februari 15, 2024 Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya  KUDU Graphite **Ndg . Phil Hoskins ** ambao wanafanya uwekezaji katika uchimbaji wa madini ya Kinywe katika mkoa wa Lindi, mazungumzo hayo yamefanyika leo Jijini Dodoma katika Ofisi za Wizara ya Madini.

#VISION2030:MadiniNiMaishaNaUtajiri

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals