[Latest Updates]: Wanawake Madini Waungana na Wengine Arusha Maadhimisho ya Kitaifa

Tarehe : March 8, 2025, 3:11 p.m.
left

Arusha

Baadhi ya Watumishi Wanawake Wizara ya Madini Makao Makuu  ni miongoni mwa wanaoshiriki Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake  Duniani  inavyofanyika kitaifa jijini Arusha.

Wakati huo, huo baadhi ya watumishi hao wanashiriki maadhimisho hayo jijini Dodoma.

Pamoja na Watumishi wa Wizara kushiriki jijini Arusha, pia taasisi zake ikiwemo ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI), Tume ya Madini, Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania ( GST),  Shirika la Madini la Taifa  ( STAMICO) pamoja na Vyama vya Wanawake katika Sekta ya Madini  ikiwemo Chama cha Wachimbaji Wanawake Tanzania ( TAWOMA) na TWIMMI) wanashiki pamoja na kuonesha shughuli mbalimbali katika mnyororo wa shughuli za madini.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo kitaifa  ni  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu.

Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni  Wanawake na Wasichana 2025, Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji"

by: madini

Latest News
Biteko atoa wito Mabenki ya ndani kuungana kukope…

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…

by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia As…

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…

by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.

Aliyoyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Adol…

’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…

by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.

Tume ya Madini Yaagizwa Kutafuta Masoko

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…

by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.

Read News
Contact Us
Permanent Secretary,
Ministry of Minerals,
Madini Street,
Government City, Mtumba
P. O. Box 422,
Dodoma, Tanzania
Email: ps@madini.go.tz
Copyright©2021 Ministry of Minerals