Tarehe : Nov. 25, 2025, 1:39 p.m.
Kuelekea Mnada wa Tatu wa Madini ya Vito Jijini Arusha
Wafanyabiashara wa Madini Waendelea Kuleta Madini yao
Arusha
Wafanyabiashara wa madini nchini wameendelea kuwasilisha madini mbalimbali katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) kama sehemu ya maandalizi ya kuelekea mnada wa tatu wa madini ya vito unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha mnamo Alhamisi, Novemba 27, 2025.
Hatua hii inalenga kuhakikisha madini yote yanayokusudiwa kuuzwa yanachambuliwa na kuthaminishwa kabla ya kuingizwa kwenye mnada, hatua inayoongeza uwazi na kuimarisha thamani ya madini nchini.
Mnada huo unatarajiwa kuvutia wanunuzi wa ndani, hivyo kuongeza fursa na ushindani kwa wafanyabiashara hivyo kuongeza ukuaji wa sekta ya madini.
by: madini
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameyataka Mabenki ya ndani kushirikiana ili kuweza kuzikopesha kampun…
by: madini on: April 23, 2021, 5:11 a.m.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 202…
by: madini on: April 28, 2021, 12:51 p.m.
’Nimeona Nyuso Zenye Furaha , Amani na Utulivu’’ Ninayo furaha kuwa nanyi hapa ili tuanze safari hi…
by: madini on: Jan. 10, 2022, 2:55 p.m.
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wa…
by: madini on: Jan. 30, 2022, 9:32 a.m.