- Kuandaa na kufuatilia utekelezaji wa sera za madini.
- Kusimamia migodi, uchunguzi wa jiofizia na jiolojia.
- Kuratibu masuala ya Tume ya Madini na mageuzi ya utawala wa sekta.
- Kukuza ongezeko la thamani na maudhui ya ndani katika sekta ya madini.
- Kusaidia maendeleo ya uchimbaji mdogo na uboreshaji wa utendaji wa rasilimali watu.
- Kusimamia idara, mashirika, programu na miradi isiyo chini ya Wizara.
