
Taarifa zilizotolewa katika tovuti hii zimechapishwa kwa nia njema na kwa madhumuni ya taarifa za jumla tu. Wizara ya Madini haitoi dhamana kuhusu ukamilifu, uaminifu, au usahihi wa taarifa hizi.
Hatua yoyote unayochukua kulingana na taarifa zilizopatikana katika tovuti hii ni kwa hatari yako mwenyewe kabisa. Wizara ya Madini haitawajibika kwa hasara na madhara yoyote yanayohusiana na matumizi ya tovuti hii.
Kupitia tovuti hii, unaweza kutembelea tovuti za nje kupitia viungo vya wavuti. Ingawa tunajitahidi kutoa viungo vya tovuti zinazofaa na za kimaadili, hatuna udhibiti wa maudhui na asili ya tovuti hizo.