Mwelekeo wa muda mrefu wa Wizara ya Madini.
Kuwa taasisi inayoongoza na yenye sifa katika kusimamia rasilimali za madini kwa mchango wa uchumi wa taifa na ustawi wa Watanzania.